JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI?
-Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe. Ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles.
Tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30 - 50.
AINA ZA BAWASIRI:-
-Kuna Aina mbili za bawasiri:-
(A) BAWASIRI YA NDANI
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili.
Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa.
Aina hii imegawanyika katika madaraja manne.
(1)DARAJA LA KWANZA - Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahal pale panapohusika.
(2)DARAJA LA PILI - hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyew ndani baada ya kujisaidia.
(3)DARAJA LA TATU - hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe.
(4)DARAJA LA NNE - hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi.
(B)BAWASIRI YA NNJE.
-Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo.
CHANZO CHA TATIZO.
-Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni:-
1. KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE.
2. KUHARISHA KWA MUDA MREFU.
3. TATIZO LA KUTOPATA CHOO.
4. MATATIZO YA UMRI.
5. KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU.
6. UZITO KUPITA KIASI.
7. MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU.
DALILI ZA BAWASIRI
-Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa.
-Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia.
-Kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa.
-Kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo.
-Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana.
TIBA YAKE NI NINI?
Good news nikwamba tiba yake ipo. Tunayo nzuri sana ya kuondoa tatizo hili la Bawasiri bila upasuaji wa aina yoyote. Ni tiba ya asili inakutibu bila kukuachia madhara. Tiba hii inasaidia kumfanya muhusika aweze kupata choo laini na kisha kuondoa nyama iliyopo ndani au nje ya njia ya haja kubwa na kumuwekea kinga pia.
Kwa Elimu zaidi au Tiba, tupigie au tuma Message/WhatsApp kupitia
0655061454 📞
Comments
Post a Comment