Faida za Bamia kwa Afya ya Binadamu.

ZIJUE FAIDA ZA BAMIA



BAMIA Ni  mboga inayotumika sana hapa  Tanzania. Ukiachana na  ladha  nzuri, bamia  ina faida mbalimbali  za  Kiafya  kwa mwili  wa  mwanadamu.

Zifuatazo  ni  faida  ishirini ( 20 )  za  kiafya  za  mboga mboga  aina  ya  bamia.

1.Inapunguza  kolestrol

2.Inasaidia  kuondoa  vimelea vya  sumu  kwenye  ngozi.

3.Inasaidia  katika  kutibu magonjwa  mbalimbali  ya zinaa  kama  vile  kaswende, kisonono.

4.Vilevile  inaponya  tatizo  la kwenda  hedhi  mara  kwa mara na  chango la kike

5.Inasaidia  kutibu  pumu ( asthma)

6.Inaongeza  kinga  ya  mwili

7.Ina  utajiri  mkubwa  wa virutubisho  aina  ya  fibre

8.Ina  utajiri  mkubwa  wa virutubisho  mwili  aina  ya protini (  hamirojo )

9.Ina saidia  kuimarisha  afya ya  nywele

10.Inasaidia  kupambana na  tatizo  la  uchovu  wa mwili, na  msongo  wa mawazo.

11.  Inasaidia  kutibu tatizo  la  kukosa  choo.

12.Inawasaidia  wanao sumbuliwa  na  tatizo  la kisukari

13.Inasaidia  kusafisha damu

14.Inasaidia  kuponya mafua

15.Inasaidia  kuondoa sumu  mwilini

16.Inasaidia  kutibu vidonda  vya  tumbo

17.Inasaidia  kukinga  tatizo  la  anemia

18.Ina  kinga  dhidi  ya utapiamlo (unene  uliopitiliza )

19.Inasaidia  kuimarisha mifupa

20.Inasaidia  kuimarisha mfumo  wa  uonaji

Comments