BAWASIRI au HEMORRHOIDS.Uvimbe sehemu ya haja kubwa/ bawasili (HEMORRHOIDS)
Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
Kuna aina mbili za Bawasiri
Nje: Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
Ndani: Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.

Visababishi vinavyopelekea Mtu kupatwa na Bawasiri :-
⚫Tatizo sugu la kuharisha
⚫kufunga choo ama kupata choo ngumu
⚫Ujauzito
⚫Uzito kupita kiasi (obesity)
⚫Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
⚫Umri mkubwa
⚫Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
Dalili za bawasiri :-
⚫kinyesi kunuka damu wakati wa kujisaidia (hematochezia)
⚫Maumivu au usumbufu
⚫Kinyesi kuvuja
⚫Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
⚫Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
⚫Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa
Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri :-
⚫Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
⚫Strangulated hemorrhoids
⚫kifo
Njia za kuzuia Bawasiri.

⚫High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
⚫Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
⚫Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.
TIBA :-
Mpaka sasa kwa hosptal hakuna tiba zaidi ya upasuaji mdogo, ambao unahusisha kuondoa sehemu ya mkundu iliyovimba, kitu ambacho ni hatari pia na ni gharama sana. Lakini habari ya kufurahisha ni kwamba @afya.tips wanayo dawa yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu na kuondoa kabisa ugonjwa huu bila kufanyiwa upasuaji. Bei ya Dawa zetu ni nafuu sana. Wasiliana nasisi kwa Whatsapp namba +255689343428. Pia unaweza ukafollow Ukurasa wetu wa Instagram @afya.tips

Comments
Post a Comment